- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Maadhimisho ya wiki ya mazingira yataadhimishwa wilayani Lushoto kuanzia tarehe 1Juni mpaka tarehe 5 Juni 2018 shughuli mbalimbali za uhifadhi wa mazingira kwa ustawi wa sasa na maisha ya baadae zitafanyika kwa kuzingatia kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu " MKAA NI GHARAMA TUMIA NIISHATI MBADALA" na kilele cha maadhimisho hayo kitafanyika uwanja wa " Nyerere square" tarehe 5 Mei 2018 kuanzia saa 3 asubuhi
KWEMBAGO
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa