• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Lushoto District Council
Lushoto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto

  • mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Historia
    • Dira na Dhamira
      • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
      • Muundo
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Utumishi na Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufatiliaji
        • Planning
      • Afya
        • Healthy
      • Fedha na Biashara
        • Finance
      • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
        • Elimu ya sekondari
      • Maji
        • water sector
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Agriculture and Irrigation
      • Huduma za ufugaji
        • Huduma za ufugaji
      • Maliasili Ardhi na Mipango Mji
      • Maendeleo ya Jamii Wanawake Vijana Watoto na Wazee
        • Community development
      • Ujenzi na Zima Moto
        • Works and fire rescure
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
        • Internal Auditor unit
      • Teknolojia ya Habari na mawasiliano
        • Information communication and public Relation
      • Manunuzi na Ugavi
        • Manunuzi na Ugavi
      • Mazingira na Usafi
        • Environment and sanitation
      • Uchaguzi
        • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezajia
    • Vivutio vya Utalii
      • Tourist attraction investiment area
    • Kilimo
      • Agriculture Investment Areas
    • Mazao ya misitu
      • Forest products
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
      • Health services offered
    • Huduma za Elimu
      • Education services offered
    • Huduma za Kilimo
      • Agriculture services offered
    • livestock and fisheries services
      • livestock and fisheries services offered
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Uchumi Uongozi na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati za maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba mbalimbali
    • Ghala la Picha

Historia

Historia ya uwanzishwaji wa wilaya ya Lushoto sambamba na Halmashauri ya Lushoto

Kuthubutu katika kujiletea maendeleo kulianza mara baada ya kuvunjwa kwa eneo la kiutawala lilloachwa na wakoloni kabla ya uhuru ambalo lilijulikana  kama " province",eneo hili lilijumuisha wilaya ya  Korogwe,Handeni,Kilindi , Same,na Mwanga.Mabadiliko hayo yalifanyikaikiwa ni hatua muhimu ya Utekelezaji wa mafaniko ya awali kabisa ya matakwa ya sheria za serikali za mitaa ya mwaka 1962 kifungu cha 333 iliyopitishwa na Bunge  la Tanganyika wakati huo.Mabadiliko hayo  yalizaa wilaya  mpya ya Lushoto ilikwenda sambamba  na uanzishwaji wa Halmashuri ya Lushoto  rasmi tarehe 29 Juni 1962 kabla haijagawanyika tena na kuzaa Halmashauri mbili  Lushoto na Bumbuli Mwaka 2013.

Eneo la Utawala

Halmashauri ya Lushoto  ipo kaskazini  mwa  Mkoa wa Tanga kati ya Latitude 4 25'-4 55' kusini mwa Ikweta na Longitude 30 10'-38 35' Mashariki mwa Longitudo kuu.Kijiografia wilaya Wilaya imepakana na nchi ya Kenya kwa upande wa kaskazini Mashariki,Wilaya ya Same (Mkoa wa Kilimanjaro Kwa upande wa kaskazini Magharibi,Wilaya ya Korogwe kwa upande wa kusini ,Halmashauri ya Bumbuli upande wa kusini Mashariki ,Kwa upande wa Mashariki ya mbali imepakana na Muheza na Mkinga

Halmashauri ya Lushoto inaeneo la ukubwa  wa kilometre za  mraba 2,300 km2 ( Hekta 227,371.43) sawa na asilimia 8.41 ya eneo lote la mkoa  wa Tanga

Utawala

Halmashauru ina Tarafa 5 Kata 33 vijii 125 pamoja na Vitongoji 948. Makao makuu ya Halmashuri ya Lushoto yako  Mjini Lushoto. Halmashauri imegawanyika katika majmbo mawili ya Uchaguzi Lushoto  na Mlalo.

Dira

Nikuwa na Jamii yenye uwezo wa kufikia huduma endelevu za jamii na kiuchumi 

Dhima

Kutoa huduma bora za kijamii na kiuchumi kwa kutumia rasilimali zilizopo kupitia Utawala bora

IDADI NA MTAWANYIKO WA WATU KATIKA MAENEO MBALI MBALI YA HALMASHAURI YA LUSHOTO

Demografia ya Halmashauri ya Lushoto ilikuwa ikiongezeka kwa ukubwa tangu 2002 kutoka 279,096 mpaka 332,436 mwaka 2012, Katika sensa ya  2002 Halmashauri ilikuwa ina idadi ya watu 279,096(125,353 wakiwa wanaume) na (153,743 wakiwa wanawake) katika sensa ya  mwaka 2012 ukiondoa Halmashauri ya Bumbuli Halmashauri ya Lushoto ina idadi ya watu 332,436 (153,847 wakiwa wanaume na 178,589 wakiwa wanawake



Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III KUANZIA TAREHE 17/03/2021-18/03/2021. March 08, 2021
  • MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUSHOTO ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA VIKUNDI VYOTE VYA KIJAMII VYA KUWEKA NA KUKOPA (VICOBA, VSLA, HISA, LIMCA NK) April 06, 2021
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 KWA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA LUSHOTO.(JOINING INSTRUCTION FORM_2021_LUSHOTO DC) December 14, 2020
  • MATOKEO YA DARASA SABA YATANGAZWA November 22, 2020
  • Agalia

Habari mpya

  • UZINDUZI WA BARAZA LA MADIWANI 2020-2025.

    December 11, 2020
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA KATIKA KATA YA MNAZI HALMASHAURI YA LUSHOTO

    August 18, 2020
  • KUKABIDHI VIFAA MAALUM KWA SHULE ZENYE WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM

    July 20, 2020
  • TANGAZO LA UWEKAJI WAZI DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA KUFANYIKA TAREHE 17-20/06/2020

    June 14, 2020
  • Agalia

Video

Mapokezi ya mwenge
Video nyingine

Maunganisho ya haraka

  • organisation structure
  • COUNCIL HISTORY
  • TAMISEMI

Tovuti zenye Mahusiano

  • TOVUTI YA MKOA WA TANGA
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2019
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • National website
  • UTUMISHI

Waangaliaji wa nje

world map hits counter

Waangaliaji wa ndani

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    KWEMBAGO

    Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto

    Telephone: +255(027)2977216

    Mobile: +255 755 723 374

    Email: ded@lushotodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa